241015 campaign meetings

Taarifa kutoka kwa waangalizi wa uchaguzi (Coalition on Election Monitoring and Observation in Tanzania)

Utangulizi Kituo cha uangalizi wa uchaguzi kinakusanya taarifa za mchakato wa uchaguzi kutoka nchi nzima. Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, waangalizi wetu zaidi ya mia tatu wanawasilisha taarifa zinazotuwezesha kutambua mwenendo wa uchaguzi, matukio ya pekee na madhara yanayoweza kutokana na matukio hayo. Waangalizi wetu wamesambaa katika majimbo yote 265 Tanzania Bara na Zanzibar ambapo[…]

Idd Uddi

Viongozi serikali za mitaa wasaidia wananchi kujiandikisha

Mzee Iddi Uddi ni mtanzania anayeishi Manispaa ya Bukoba mjini. Ana umri wa miaka (61) na ni mwenyekiti wa mtaa katika Kata ya Birere. Amekuwa katika nafasi hiyo kwa muda sasa na alihusika katika mchakato wa uandikishaji akiwa kama msimamizi katika kituo kimoja kilichopo ndani ya kata yake. Akiwa kama mwenyekiti, anatushirikisha mambo mengi leo.[…]

Felister Mwamalembe

Sikufanikiwa kujiandikisha!

Felister Mwamalembe ni binti mwenye miaka (18). Anaishi Ludewa katika mkoa wa Njombe. Anafanya kazi kama msichana wa kazi za ndani katika kaya moja na alikuwa na shauku ya kujiandikisha kwa mara ya kwanza. Ameishi katika eneo hili kwa takribani miaka miwili kabla ya kuondoka Dar es Salaam. Felister anatueleza uzoefu wake kama binti ambaye[…]

Jamila Masoud

Attributing the turn up to constitutional review awareness

Jamila Masoud (34) is a mother of two residing with her family at Magharibi district, MjiniMagharibi region in Unguja. It was her first time to register as she previously lived in Tanzania mainland until recently when the family shifted back to Zanzibar. Jamila was pregnant during registration and she now has a one month little[…]

registration by region and gender

Registered voters by region and gender

The chart below presents newly released data from the National Electoral Commission, which gives breakdowns of the number of male and female registered voters by region. In most regions, the numbers of female and male registered voters are similar, with a few exceptions. Most notably, there are more female than male registered voters in Geita[…]

registered voters by age

Registered voters by age

The National Electoral Commission has released a breakdown of registered voters by age group, which has been compiled into the chart below. It shows how a clear majority (57%) of registered voters are young people, defined here as those under 35 years old. This matches the age profile of the adult population of Tanzania. The[…]

registered voters by region

Registered and eligible voters by region (and Zanzibar)

The chart below shows the number of eligible and registered voters by mainland region, and for Zanzibar. It is based on data on population and estimates of the number of eligible voters by region from the National Bureau of Statistics (NBS), and data on registered voters from the National Electoral Commission (NEC) and Zanzibar Electoral[…]

My right

Because I knew it was my right to register and vote!

Winifrida Charles (19) is a student at Vocational Educational and Training Authority in Dar es Salaam and lives in Temeke District. Winifrida is one of the young girls who registered for the first time as she just turned 18 years last year. She shares her story how she received information and her participation in the[…]